BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,126
- 2,825
Pole chief...nimechukua BA, MSc nikiwa na tatizo Kama lako mkuu. Usikate tamaa, matibabu nayo yanatuchanganya sana wakati mwingine unaamua kumuachia Mungu tu.
asante mkuu vipi iyo BA.MCs ni kitu ganiPole chief...nimechukua BA, MSc nikiwa na tatizo Kama lako mkuu. Usikate tamaa ,matibabu nayo yanatuchanganya sana wakati mwingine unaamua kumuachia Mungu tu.
pole sana pia mkuu una mda gani umepata ilo tatizoNa tatizo hilonpia lilinikuta ukubwani...
Kuna aina mbili za usikivu kuna ile inayosababishwa na neva kwny ubongo kufa na ile ya pilihitilafu kwny mrija wa sikio nimesahu jina kitaalamu...
Ukiwa na tatizo la kufa neva sikio linakua linasikia kama kawaida sema ubongo unashindwa kutafsiri nini kinaongelewa mtu anaweza sema "Chi" we ukasikia "Kha" sasa ukiwa na shida hii hata uvae hearing aid za milioni kumi hazisaidii....
Inabd ujikubali tu kuwa wewe ni kiziwi..
Aina ya pili hyo hitilafu kwny mrija wa sikio ndio huwa ukivaa hearing aid unasikia but viziwi wengi niliokutana nao wanasema hearing aid hazisaidii so ni kujikubali kuwa husikii na kujifunza lugha ya alama..
Mimi nimejisomea na kugundua vitamini b12 na b6 pamoja na calcium pamoja na vitamin k ukosefun tatizo so karibu vyote kwa pamoja nimetuma hivyo sikio langu LA kushoto now lina nafuu kubwa sana so kula mayai sana kila siku kunywa Maziwa mengi daily tumia blue band kwa fujo utaona changes tumia hata Maziwa ya ndio daily kwenye chai yakoTatizo kubwa ni unyanyapaa linauma sana
asante mkuu vipi iyo BA.MCs ni kitu gani
hongera sana mkuu kukata tamaa ni mwikoBachelor na Master's degree .mkuuu
Na tatizo hilonpia lilinikuta ukubwani...
Kuna aina mbili za usikivu kuna ile inayosababishwa na neva kwny ubongo kufa na ile ya pilihitilafu kwny mrija wa sikio nimesahu jina kitaalamu...
mtoa mada mimi tokea form 1 si sikii vizuri na sijawahi kuona ubaoni, nikawa mzee wa kuakaa nyuma class ,yaan ushahidi tuu nipo class ,but na kipaji cha hesabu yaani kile chenyewe siyo cha kawaida ,embu fikiria diploma nilikuwa na G.P.A YA 4.3 ,Degree na G.P.A YA 3.4 na sasa mwezi wa kumi nataka nianze masters ya actuarial science pale IFM.Afadhali wewe mimi tangu darasa la pili ila now niko chuo. Cha kushangaza wanaosikia ndio wananiomba niwaeleweshe topic.