Oa tu, mkishindwana tutawapa ushauri wa kutalikiana, ukitaka kujua tabia halisi ya patner weka ndani, uchumbani hata iwe miaka 6 kuna vitu atajificha ila mkishaingia ndoani, ewaaaa utaona CINEMA zote😁😁
No formula ni kama NECTA ya kuchagua. Nina jamaa alitangaza kwenye disco anayetaka kuolewa binti akajitokeza mpaka leo wanna watoto wanna. Demu mmoja chuoni alitolewa out na mfanyakazi wa serikali hakurudi hostel mpaka leo miaka kumi wako pamoja. Ukichumbia mchaga itakuchukua muda lazima ndugu wajue kwenu physically, kazi yako n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.