Acheni kujichelewesha wakuu,kama hamna sifa ya kwenda digrii (those form six leavers) siwashauri kusoma diploma.Kachukue hii kozi ya OFP kwa kipindi cha mwaka moja pale chuo kikuu huria baada ya hapo ukifaulu unaingia digrii chuo chochote.
Acheni kujichelewesha wakuu,kama hamna sifa ya kwenda digrii (those form six leavers) siwashauri kusoma diploma.Kachukue hii kozi ya OFP kwa kipindi cha mwaka moja pale chuo kikukuu huria baada ya hapo ukifaulu unaingia digrii chuo chochote.