bvm inamaana ya bachelor of veterinary medicene..... ni moja ya proffesional course zinazotolewa duniani na ime base ssana katika kutibu wanyama mbalimbali japo kwa hayo mafupi utakuwa umepata uelewa kidogo... karibu sua
hapana kijana kozi ni ya kawaida sana ila ukizembea kidogo wanakula kichwa.... ni vyema ukapanga muda wako na mambo yatakuendea vizuriii... kwa pcm hawezi soma bvm kwa sababu hana biology
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.