Language ipi? Angalia tutorialspoint.comWasalaam,
Napenda sana Kujihusisha na inshu za Ku "code" na natumain October ntaanza kusoma programming.Napenda kuomba ushauri ni application gani & website IPI ni nzuri kwa tutorial ya first learner (beginner) jinsi ya Ku code,natanguliza shukran kwa majibu mtakayonipa.
Ok hakuna shida check pia pythonNaskia java ndio nyepesi kwa beginners
Kama ni Lectures ingia UDEMY na vitabu nenda Library Genesis; kuhusu lugha ya kuanza nayo nakushauri anza na c au c++ maana kama ni c++ utaweza kusoma structured oriented programming na object oriented programming kwa pamoja tofauti na java ambayo ni pure OOPNaskia java ndio nyepesi kwa beginners
Nashkuru sanaKuna app inaitwa sololearn iko vzuri kwa beginner! Uzuri inakupa options za kujifunza lugha mbalimbali but also kuna section ya comments ambapo unaweza kupata majibu ya maswali uliyokuwa nayo kichwani and also utakapouliza swali kuna nafasi atleast 40 percent ya kujibiwa.
Kuhusu lugha gani ujifunze, nafikiri ni suala ambalo linabidi litegemee sana na swali hili, 'LENGO langu nini hasa?" mfano, lengo langu ni kuwa web developer, mobile developer, software developer, au kotekote..n.k..ukishalijibu hilo swali, I bet utakuwa na mwanzo mzuri
NI bora kwa mwezi huu ukautumia kwa kuziangalia hizi applications na websites wanazozitirisha wadau ili uangalie zile zinazomeet your profile. Tunajifunza kwa staili tofauti tofauti, wengine wanacatchup mapema kwa kutumia vitabu, kuangalia video, kusikiliza...n.k..therefore ukichagua application au website inayomeet your learning strength, zoezi la kujifunza linakuwa rahisi.
Udemy ni my number one site kwa tutorials.Kama ni Lectures ingia UDEMY na vitabu nenda Library Genesis; kuhusu lugha ya kuanza nayo nakushauri anza na c au c++ maana kama ni c++ utaweza kusoma structured oriented programming na object oriented programming kwa pamoja tofauti na java ambayo ni pure OOP
Mkuu nataka nijikite hapa ''software developer'' lugha gani ya kujifunza km beginner?Kuna app inaitwa sololearn iko vzuri kwa beginner! Uzuri inakupa options za kujifunza lugha mbalimbali but also kuna section ya comments ambapo unaweza kupata majibu ya maswali uliyokuwa nayo kichwani and also utakapouliza swali kuna nafasi atleast 40 percent ya kujibiwa.
Kuhusu lugha gani ujifunze, nafikiri ni suala ambalo linabidi litegemee sana na swali hili, 'LENGO langu nini hasa?" mfano, lengo langu ni kuwa web developer, mobile developer, software developer, au kotekote..n.k..ukishalijibu hilo swali, I bet utakuwa na mwanzo mzuri
NI bora kwa mwezi huu ukautumia kwa kuziangalia hizi applications na websites wanazozitirisha wadau ili uangalie zile zinazomeet your profile. Tunajifunza kwa staili tofauti tofauti, wengine wanacatchup mapema kwa kutumia vitabu, kuangalia video, kusikiliza...n.k..therefore ukichagua application au website inayomeet your learning strength, zoezi la kujifunza linakuwa rahisi.
Hakuna ubaya wowote na inategemea na lengo la mtu lakini kwenye kutanua maarifa ni bora mtu angegusa koteUdemy ni my number one site kwa tutorials.
Kupata tutorials zake ambazo ni za kulipia waweza kupitia tovuti www.freeudemy.us
BTW Kuna shida gani mtu akianza na Pure OOP?
Kama utasoma c/c++ weka codeblocks: Java weka intellij web developing weka apatna studioPia niwe na apps gani kwenye laptop za kuniwezesha kufanya coding.?
Sent using Jamii Forums mobile app