Kwa wale wasio na usingizi tu!

jamn pole sana,most of all kw mtoto wako,atapona tu,doctors are doing th best,tunamuombea
 
Stress yangu hadi saa hii mechi ya ligi kuu Uingereza Man U Vs Everton (mapumziko), Man U hajapachikwa bao...yaani inauma sana....

ha,ha,ha,ha,ha haya bwana,wanasema adui muombee njaa
 
Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.
 
thanx umenifarij
 
pole sana,kubali tu hali halisi and mpende mtoto akue vzur,huwez jua atakuja kuwa nani in the future ,hajui chochote and t ws never his o her choice kuzaliwa,af next tym make use of studs znauzwa madukan
 
pole sana brother,tumuombe mungu hali yake itengamae
 
Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.

ni mipango ya mungu,kamwe usipingane nayo,shukuru halafu songa mbele!
 
Mimi nipo macho namuwaza jamaa nilikuwa nae kaniambia eti anawahi nyumbani wanaweza kumwibia hakuna mtu ukizingatia anakaa katika flet ya juu! Mi nahisi kaoa ila anashindwa kuniambia anasingizia vibaka watapiga jordan. Hivyo nipo nipo tu natafakari
 
usimuwazie vibaya,mda mwingine unaweza kukuta anachosema ni kweli,labda ungefanya utafiti ugundue kama unalodhani ni kweli ama si kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…