Kwa wale wapenzi wa OGWhatsapp

Kwa wale wapenzi wa OGWhatsapp

Nataka kutumia WhatsApp kwenye PC yangu kama ilivyo kwa telegram nafanyaje
 
Kuna application inaitwa BlueStacks, install kwenye PC, ii ina uwezo wa kuistall application zote za Androids
 
Rahisi sana hiyo ya bluestacks ni kupoteza muda. Unga internet computer yako kisha browser whatsapp web, ila PC yako iwe na camera. Nenda ktk whatsup ya cmu yako, kabonyeze whatsweb....ni PM maana kuandika mimi mvivu
 
Huko Pm hamtumiii maandishi…!? haha.
Kuna jamaa aliwah ongea hilo swala humu
 
Back
Top Bottom