Habari wana JF,kwa wale mnaopenda kunyoosha misuli yenu kwa massage huduma inakufuata ulipo kwa wakazi wa mwanza na geita na kama uko nje ya mwanza basi booking zikifika 5 pia wanakufuata,karibu sana na kwa wale watakaohitaji mawasiliano ni 0719641831
Mi nataka nijue ulipo nije...
Ukija kwangu mke wangu atakutoa ngeo...
Na hivi hatujuani, mara unaenda kufanyiwa massage unakuta ndo mkeo, utachezeaje vitasa
Ndio maana nimempa warning...! Asije huku buhongwa kwetu.
Hivi kumbe unaishi jirani na mie, jioni tukutane hapo nyegezi
Na hivi hatujuani, mara unaenda kufanyiwa massage unakuta ndo mkeo, utachezeaje vitasa
Unalipa kodi lakini, nitakuja ila unipe risiti ya EFDHabari wana JF,
Kwa wale mnaopenda kunyoosha misuli yenu kwa massage huduma inakufuata ulipo kwa wakazi wa mwanza na geita na kama uko nje ya Mwanza basi booking zikifika 5 pia wanakufuata.
Karibu sana na kwa wale watakaohitaji mawasiliano ni 0719641831
Kuna dada kanifanyia massage akaniambia boyfriend wake hajui kama yeye anafanya hiyo kazi pia. Halafu ukitaka anakupa namba yake anakufata popote! Yani nilishtuka hadi nikapata ganzi. Na dada mwenyewe ni mzuri kiaina
Habari wana JF,
Kwa wale mnaopenda kunyoosha misuli yenu kwa massage huduma inakufuata ulipo kwa wakazi wa mwanza na geita na kama uko nje ya Mwanza basi booking zikifika 5 pia wanakufuata.
Karibu sana na kwa wale watakaohitaji mawasiliano ni 0719641831
Habari wana JF,
Kwa wale mnaopenda kunyoosha misuli yenu kwa massage huduma inakufuata ulipo kwa wakazi wa mwanza na geita na kama uko nje ya Mwanza basi booking zikifika 5 pia wanakufuata.
Karibu sana na kwa wale watakaohitaji mawasiliano ni 0719641831
Kama akili yako ikiwa 90% inawaza ngono basi kila kitu unahisi ni ngonoo tuuuu
Sio kila wanaofanya massages ni wahuni,wapo watu wanaheshma zao na wanamaisha yao mazuri tu kwa kazi hiyo kama kazi nyingine.
Wakangapi dada zetu,mama zetu,wake zetu wapo majumbani na wengine huko maofisini waziniwa kila siku na watu tunajifanya kujiona sie ndio wasafi saana wakati ndani ya nyumba zetu wazinifu telee.
Hii ni taaluma,na kazi ya watu,hapa Zanzibar kuna waThailand kibao wapo kwenye center hizo,na wanalipwa mshahara wa maana hasa.Na mahotelini uko wapo kibao mpaka wakenya wanakuja kuchukua nafasi hizi kwa akili zetu za kuona kwamba kazi hii ni uhuni.
Ufupi ni kwamba,kama haya mambo sio yako basi kuwa mpole.Jiulize kwanza wewe umemsaliti mara ngapi mpenzi wako,halafu jiulize je yeye amekusaliti mara ngapi,jibu utakuta kwamba wewe unamuamini yeye kwamba hajakusaliti,ila umakini wa mwenzio kwenye kukusalini ndio ujinga wako usioujua.
Heshimuni kazi za watu
pm numberKuna dada kanifanyia massage akaniambia boyfriend wake hajui kama yeye anafanya hiyo kazi pia. Halafu ukitaka anakupa namba yake anakufata popote! Yani nilishtuka hadi nikapata ganzi. Na dada mwenyewe ni mzuri kiaina