Natazama Tv ya Kenya K24 kuna kipindi sasa hivi wanaeleza kuwa, watu ambao wanatumia vileo na wana umri chini ya miaka 21 wanakabiliwa na tatizo na kutokukua kwa ubongo wao na kwa sababu hivyo Kenya wapo kwenye mkakati wa kuzuia unywaji wa pombe kwa watu wenye umri chini ya miaka 21 yaani Sheria itafanyiwa marekebisho. Kwa wale mlioanza kunywa pombe kabla ya miaka 21 je akili zenu zipo sawa? Yaani akili zenu hajijaathiriwa na kutokukua kwa ubongo?.