Kwa wale wanaojitafuta🤔🤔🤔

ishi vizurii na jinsia ya eva mkuu, kuna watu mbona fresh tu hela sio shida zao anakupa tu jagina kiroho safi
1. Akufanye kibenten, akutumie (kwangu ni big no)
2. Ukubali kuwa anavyokupa wewe kiroho safi kuna wengine anawapa hivyohivyo pia (kwangu pia ni big no, nataka kumiliki na ku control🙅🏽‍♂️)
 
1. Akufanye kibenten, akutumie (kwangu ni big no)
2. Ukubali kuwa anavyokupa wewe kiroho safi kuna wengine anawapa hivyohivyo pia (kwangu pia ni big no, nataka kumiliki na ku control🙅🏽‍♂️)
kama atakubali kuhongwa still bado ikija offer ya dau kubwa kukuzidi, bado mwenye kisu kikali ndo atakula nyama.
 
Kichakani kwa wivu mkubwa 😜
 
Leo tu nikepanda sgr Hadi moro kufata manzi na mida hii Niko nayo star park nagida nae ugimbi. Ndo mana sitoboi Hadi Leo
Moro una enda fuata wazingua au wakaguru na waluguru au unaenda tafuta watato wa mzumbe na sua sema ukweli
 
Kama Hauna fursa mchongo wa maana huu ushauri ni takataka tu utajichosha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…