Unawezaje kutibu madhara ya jua kwenye uso wako?
Mpenzi msomaji wa JamiiForums,Unangoja nini hebu chukua hatua yakufanya yafuatayo;
chukua asali MBICHI kijiko kikubwa cha chakula,changanya na maziwa ya unga kijiko 1kikubwa cha chakula ,weka na juisi ya limau kijiko1kikubwa pamoja na mafuta ya olive nayo kijiko kikubwa ,tengeneza mkorogo huo wa vitu vyote 4 kisha paka kwenye uso nakufanya masaji kwenye ngozi yako kwa dk 15 baadaye osha uso kwa maji ya uvuguvugu na kausha,endelea kwa muda wa wiki moja mfululizo na matokeo yake yatakufanya uonekane mrebo zaidi
maziwa kazi yake nikufanya ngozi iteleze na kuwa nyororo.
asali nayo kazi yake kuifanya ngozi yako kungaa zaidi,pia
limau kazi yake niku breach ngozi na kufanya kuwa ya asili zaidi na
olive oil kazi yake ni kuondoa ngozi iliyokufa nakuleta ile inayong'ara