Kwa wale wanao hitaji power bank.

Kwa wale wanao hitaji power bank.

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Kwa wale watumiaji wa smartphone, ili kuepuka usumbufu wa kuishiwa na charge mara kwa mara power bank ndo mkombozi, ni kifaa kidogo unachoweza kutembea nacho huku kikichaji simu yako popote pale mahali ulipo,endapo simu yako imeishiwa chaji.Ni rahisi sana kutumia, unachotakiwa kufanya ni kukichaji kifaa chako kikisha jaa chaji kinatunza nguvu ya umeme itakayo kuwezesha kujaza chaji kwenye simu yako zaidi ya mara 2. maana yake kinatunza au kubeba nguvu ya umeme wenye uwezo wa kuchaji simu yako zaidi ya marambili.2600mah tsh.25,000 na 1000mah tsh. 15,000 na 5600mah 35000 pia zipo mah8600 tsh.50,000,mah14000 tsh. 60,000. na 15000mah kwa tsh.63,000.

Kumbuka power bank yenye uwezo wa kuchaji simu zaidi ya maramoja ni ile yenye ukubwa wa kuanzia 8600amh na kuendelea. kwa mawasiliano zaidi 0773 944 944.
 
Kwa wale watumiaji wa smartphone, kuepuka usumbufu wa kuishiwa na charge mara kwa mara power bank ndo mkombozi. 0773 944 944 2600mah tsh.25,000 na 1000mah tsh. 15,000 na 5600mah 35000

Uko wapi?
 
Naishi Tegeta ila power bank zipo Ukonga Mombasa kuna duka linauza simu linaitwa Kariakoo.
 
Mkuu naomba nieleweshe hizo mah ndo nini.. Mie nilikuwa ninayo but kuna mtu aliichukua na ninapata shida sana sasa.. Hebu nieleweshe nione kama iko kama ile ya mwanzo tufanye biashara..
 
Mkuu ni kifaa kinachotunza umeme, kina sehemu ya kuchomeka waya yaan usb cable na kucharge simu yako hasa smartphone ambazo zinaisha charge haraka.Ila nacho kikiisha charge inabidi kichajiwe.
 
Niletee mi niko tegeta nahijitaji hiyo kubwa kabisa hata leo nambie nikuone wapi
 
Ndugu mimi pia si mtaalam ni muuzaji tu, ila maana yake ni hii. Milliamps Hour is 1/1000th of a Amp Hour, so a 1000mAh = 1.0Ah
 
Kwa sasa, pia zipo mah8600 tsh.50,000 na mah14000 tsh. 60,000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom