Zipo sababu nyingi ila kwa ufupi nakupa hizi.
- Uvumulivu wake.
- Upendo wake hauna mfano.
- Mautundu yake kwenye sita kwa sita.
- Maneno yake ya hekima yaani huyachuja kwanza kabla ya kuyatoa kinywani.
- Huwapenda ndugu zangu na kuwathamini.
- Umbo lake, sura , tabia vinaendana.
- Mcheshi kila mara, hupenda utani kila mara.
- Haniombi ombi hela ovyo.
- Nilimuoa kwa gharama ndogo tu.
- nilimpendea Wallet yake at first
- ufupi na utanashati wake
- ucheshi,ukarimu,upole wake
- hatimae penzi likaota mizizi tukawowana
FYI Hakuna ndo inaweza kutokea kama Mungu hajapenda:A S shade:Mh! Fazaa how did u know kama mung akuandkia awe wako?