Kwa wale wana michezo kama mimi je hapo tutapona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wana michezo kama mimi je hapo tutapona?

Discussion in 'Sports' started by MziziMkavu, Dec 6, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,989
  Likes Received: 3,545
  Trophy Points: 280
  Hebu angalia hii picha inavyozungumza.....


  [​IMG]
   
 2. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 515
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Inamaaanisha zimbabwe katujeruhi lakini hasira zetu twaenda kumalizia kwa malawi
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,966
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Malawi lazima wawalize Tanganyika. Hamjui hilo!!!
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  huwa hapa kwenye utabiri huwa haitokei kweli kwani fitina nyingi subirini muone leo lazima mtu uchoke..
   
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,277
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wacha masihara wewe unawasikia au unatamka ao malawi watanganyika waende na kapulakubebea mijigoli.
   
Loading...