Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Hizi chuma suala la fuel sensitivity nadhani ni issue.

Mtu aliyeko mkoani kwenye sheli za Mafuta low quality ni lazima ife mapema.

Kuna sehemu nishawahi kufika kukuta sheli zote ni brand tatanishi... moja inaitwa "NDONO petrol station".

Nikauliza wenyeji... "Kuna sheli ya Total au Puma au Lake Oil maeneo haya?"

Jamaa wakanijibu kwa swali: "mmh TOTALI ndo mafuta ya kwenye nini hayo kaka"?

Nikatia cha 'uwani' nikageuza mkebe then nikateleza.

-Kaveli-
Ukiwa mwenye safari ni kujitahidi mafuta kila ya kifika nusu tank, utapo ona Kituo kikubwa Lake, GBP , puma unatia wese, gari yangu yoyote huwa haiendi chini ya nusu tank, labda niwe dar huwa nakomaa nayo hadi kataa kawake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Service huwezi amini kama Crown tu iwapo umeamua kutumia parts genuine. Oil natumia 5w40 5L 100,000 oil filter 30,000. Hapo 130,000 nimemwaga oil.
Crown oil natumia hio hio 5w40 6L 120,000 oil filter 25,000 mpaka hapo 145,000 Crown iko juu kwa 25,000 zaidi.

Ni cost ya kawaida kumbe.

Ila raia tunaogopeshana sana linapokuja suala la kumiliki chuma za mjerumani.

Hata mkuu Extrovert pamoja na umwamba wake wote downtown lakini chuma cha mdutch anakihanya! 😎

-Kaveli-
 
Hizi chuma suala la fuel sensitivity nadhani ni issue.

Mtu aliyeko mkoani kwenye sheli za Mafuta low quality ni lazima ife mapema.

Kuna sehemu nishawahi kufika kukuta sheli zote ni brand tatanishi... moja inaitwa "NDONO petrol station".

Nikauliza wenyeji... "Kuna sheli ya Total au Puma au Lake Oil maeneo haya?"

Jamaa wakanijibu kwa swali: "mmh TOTALI ndo mafuta ya kwenye nini hayo kaka"?

Nikatia cha 'uwani' nikageuza mkebe then nikateleza.

-Kaveli-
Yeah mafuta inabidi uchague ingawa tunaambiwa mletaji ni mmoja. Mimi naweka Total,Puma na Engen tu
 
Ukiwa mwenye safari ni kujitahidi mafuta kila ya kifika nusu tank, utapo ona Kituo kikubwa Lake, GBP , puma unatia wese, gari yangu yoyote huwa haiendi chini ya nusu tank, labda niwe dar huwa nakomaa nayo hadi kataa kawake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa issue ni kwamba unaishi mikoani huko ambako sheli kuu ni 'NDONO Petrol Station' au 'KARAGWE Oil' afu unamiliki chuma kama bimmer au vw golf.

Hiyo engine itadumu? Wataalaamu wanasema mikebe ya mzungu ni fuel sensitive sana.

Kuna miji midogo midogo hapa Tz ukifika na kuulizia labda sheli ya Oryx, wanakujibu kuwa hiyo ni kampuni ya mitungi ya gesi na oil za bodaboda.

Hapo kipengele mkuu, ila kila mkoa tanzania una GBP . Ni kujua tu location, labda kama unaishi kwenye wilaya hapo ni mtihani
 
Diesel engine ndio balaa.
 
Hahahahah *****! Ila Lake Oil wamejitahidi wapo sehem nyingi
 
Wanatapeli kivipi ? Maana mie ndio vituo ambavyo napenda weka wese,
Haiko smart tatizo! Yani hapo nikienda either nime run out of options kabisa. Ile chuma delicate jazia Total mzee baba. Lazma tuwe na discpline na vituo tunavyojazia mafuta. Total ni excellent kwa mafuta!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Total mafuta bei mkuu. GBP nina save 100 nzima .. ngoja nikajaribu total sasa
 
Hapo kipengele mkuu, ila kila mkoa tanzania una GBP . Ni kujua tu location, labda kama unaishi kwenye wilaya hapo ni mtihani
Kama unakosa Total unaweza jaza sheli zingine ila first priority kwa mafuta safi ni Total nikikosaga ni Lake oil! Na hata kuisha kwenye tank yanawahi kuisha nikitumia ya Total.
 
Back
Top Bottom