Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW Polo na VW Golf?

Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Mimi sio mzoefu sana wa teknolojia za magari lakin binafsi nina Golf 5 GTI Original na ni manual transmission.
Hizi ndo sifa nilizozigundua:
1.Ina speed kali sana ukiwa mjinga haikukawizi
2.Ni nzinto na very stable(ukipishana na lori au basi wote mkiwa machafu haufeel chochote ni kama umepishana na Passo)
3.Very confortable unapoiendesha
In short Polo ni bwana mdogo kwa Golf.
Bado unayo uniuzie
 
Back
Top Bottom