Kwa wale wamiliki na wazoefu wa magari, ipi bora kati ya VW polo na VW golf??

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,770
2,000
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.

Hakuna tofauti kwenye ubora zote ni sawa sasa inategemea na mahitaji na uwezo wako kwani Golf ni kubwa klk Polo au kwa lugha nyingine golf ni kaka wa Polo ni kama Benz C na E class au BMW 5 na BMW 3, au Audi A4 na Audi A6 au ukipenda ni sawa pia na kuuliza ipi ni bora kati ya Landcruiser VX na Prado, Golf ni kama VX na Polo ni kama Prado kwa ulinganisho sijui kama nimeeleweka vizuri!
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,770
2,000
Hakuna tofauti kwenye ubora zote ni sawa sasa inategemea na mahitaji na uwezo wako kwani Golf ni kubwa klk Polo au kwa lugha nyingine golf ni kaka wa Polo ni kama Benz C na E class au BMW 5 na BMW 3, au Audi A4 na Audi A6 au ukipenda ni sawa pia na kuuliza ipi ni bora kati ya Landcruiser VX na Prado, Golf ni kama VX na Polo ni kama Prado kwa ulinganisho sijui kama nimeeleweka vizuri!
Okei okei.
Shukrani.
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
7,439
2,000
Golf na polo zipo tofauti ingawaje zote in VW ndio maana golf ina series yake kuanzia GTI kavu mpaka Golf 6 na Golf 7 polo wana Vivo sasa hivi kwa uimara na bei Golf seven Mpya ipo ghari sana kuliko polo vivo hata model zikiwa sawa..Golf ipo comfortable na ina speed na balance ya kutosha kuliko polo...
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,770
2,000
Golf ni gari zuri kwa muonekano kuliko Polo, Ni kubwa kidogo na zito kuliko Polo na ukipata Golf black metalic kaka hapo ni utilivu

Speed hadi 260
Poa poa, ila mi naiona kwa mvuto wa muonekano naona kama polo iko vizuri vile.
Golf.
20171213_111411.png

Polo.
20171213_111433.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom