Kwa wale waliosoma masomo haya...

Kwa wale waliosoma masomo haya...

moriooo

Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
13
Reaction score
3
Habari wana JF, kama kuna mtu amesoma masomo tajwa hapo (community economic development/community development) kwa levo ya degree pls inbox me ur number, ili tuweze kuwasiliana zaidi na uwezi nitumia vyeti vyako.
 
kama umeamua kuweka hapa, basi weka kila kitu hapa ili watu tuweze kujua, ayo masuala ya ku inbox no, du, mimi ni mmoja wapo nimesoma, masuala ya project and community development.
 
habari wana jf, kama kuna mtu amesoma masomo tajwa hapo juu kwa levo ya degree pls inbox me ur number, ili tuweze kuwasiliana zaid na uwez ni2mia vyeti vyako.
Pls ndugu yangu. Naomba uweke yakwako tupo wengi. Mm nmeshindwa kukuinbox
 
Back
Top Bottom