Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,156
- 124,772
Wakuu samahani kwa usumbufu..mwenzenu hii movie sijafanikiwa kuielewa kabisaaa
Kinachonichanganya ni yule dada (Eun soo)...mimi sikuelewa kabisa,inakuwaje alikuwa anajua mambo yaliyopo na yatakayotokea akidai kuwa amesoma kwenye history?
Na inakuwaje anaonekana yeye huyohuyo alikuwepo kwenye eneo hilo miaka mingi iliyopita na huku yeye mwenyewe akiwa hajui chochote kuhusu hilo?
Ni maswali mengi huwa najiuliza ila nikipewa ufafanuzi naweza kufunguka akili nikaelewa na mengine.. Sina hakika kama nimeeleweka.
Samahani kwa usumbufu jamani naomba msichukie. nifah nisaidie kuniitia na wengine unaowajua

Last edited by a moderator: