B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
Hembu tusaidiane kunyambua haya maneno[kiima kiarifu.....]
1.pinda...pindisha,pindishwa...
2.lala...lalia.laliwa,laliana....
3.ingiza...ingiziwa,ingiziana.....
4.inama...inamisha,inamishwa,inamshia....
5.pakua...pakulia,pakuliana.pakuliwa... Nyambua yako
1.pinda...pindisha,pindishwa...
2.lala...lalia.laliwa,laliana....
3.ingiza...ingiziwa,ingiziana.....
4.inama...inamisha,inamishwa,inamshia....
5.pakua...pakulia,pakuliana.pakuliwa... Nyambua yako