KWA WALE WALIO NA DSTV TUAMBIENi

KWA WALE WALIO NA DSTV TUAMBIENi

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
Wakuu wale ambao mnatumia dstv hebu tufahamisheni kin'gamuzi chao kinalipiwa bei gani na kwa muda gani na ligi gani kwa ulaya wanazi onyesha natoa shukrani kwa wote .
 
ligi zote mkuu.....128000 kwa mwezi mkuu...
 
Compact plus 85000 unaangalia game zote pia!
 
ok ahsanteni ila awa jamaa bei yao ni kiboko sana mimi nilifikiri alau kwa mwaka kama 150000tsh hivi
 
bora kununua dish na card ya abudhabi
 
Back
Top Bottom