Hahaaaaaaa namshukuru Mungu sijawahi kukutana na hizo saundi................. labda zianzie hapa chitchat.......... after all mi siyo kwale
Mungi bana eti mimi siyo kwale wala njiwa!! Saizi unahaha kijana kila kona kupindua koloni la Erickb52 kwa snowhite bila kujali kama kijana hata ukimpora huyo babo akina cacico, Mamndemy wanaweza kujitolea tehe tehe.
Filipo come this way upute uzoefu wako ulikuwa unapigisha sound kwa marejesho mpaka akalainika kiasi hicho.
Babu Asprin uzi huu unakuhusu kwanza kama mgaguzi pili mauzoefu yako katika ngimbila zako tehe teh.
King'asti anatuhuma mkuu Paw kwa hiyo muwe makini kulimwa ban ushahidi AshaDii katusaidia.
1. Baby 2taongea badae naingia lecture
2. Jamani hny ckuweza kupokea cmu nilikua kwenye kelele
3.Swety cna credit thats why cjajibu sms yk
4.2ko discxn ntaku beep badae dia
5.Cmu haikua na chaji jamani (hapo alikuzimia)
6.Nipo na kaka yng ucpige cmu
7.Nina presentation kesho ha2wezi kuonana
8.Room mate wangu anamgeni ucje leo
9.Nipo library nitakutafuta badae (kwa sauti ya chini) Upo hapo...
10.Baby nakusanya assignment usinitafute wk nzima baada ya wiki tenantakuwa napresentation hvyo ongezea wk nyngne ya kutonitafuta.
Mzee wa Rula hebu nyoosha maelezo hapo kwnye bold!isijie ikawa Erickb52 kashatangza ufalme hapa!mi navojua alikuwa anataka kuoa dadangu FP kaka zetu Chimunguru, moto2012 walipomtajia mahari akachapa lapa!sasa leo tena vijeeeee?Mungi bana eti mimi siyo kwale wala njiwa!! Saizi unahaha kijana kila kona kupindua koloni la Erickb52 kwa snowhite bila kujali kama kijana hata ukimpora huyo babo akina cacico, Mamdenyi wanaweza kujitolea tehe tehe.
Filipo come this way upute uzoefu wako ulikuwa unapigisha sound kwa marejesho mpaka akalainika kiasi hicho.
Babu Asprin uzi huu unakuhusu kwanza kama mgaguzi pili mauzoefu yako katika ngimbila zako tehe teh.
King'asti anatuhuma mkuu Paw kwa hiyo muwe makini kulimwa ban ushahidi AshaDii katusaidia.
Mkuu Mzee wa Rula mi siyo kwale.............. kwanza hata humu chitchat sijapigwa saundi......... si umeona nilirusha ndoano kwa Lily Flower kitu ikanasa pale pale hahaaaaaaa........ Chezeya Mungi weye
Utafikiri ndege kwenye ulimbo ha ha ha
Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki haya ndo majibu yake;
8.Room mate wangu anamgeni ucje leo
Mzee wa Rula hebu nyoosha maelezo hapo kwnye bold!isijie ikawa Erickb52 kashatangza ufalme hapa!mi navojua alikuwa anataka kuoa dadangu FP kaka zetu Chimunguru, moto2012 walipomtajia mahari akachapa lapa!sasa leo tena vijeeeee?