KWA WALE WAKWALE SOMA kumi bora hapa

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki haya ndo majibu yake;
1. Baby 2taongea badae naingia lecture
2. Jamani hny ckuweza kupokea cmu nilikua kwenye kelele
3.Swety cna credit thats why cjajibu sms yk
4.2ko discxn ntaku beep badae dia
5.Cmu haikua na chaji jamani (hapo alikuzimia)
6.Nipo na kaka yng ucpige cmu
7.Nina presentation kesho ha2wezi kuonana
8.Room mate wangu anamgeni ucje leo
9.Nipo library nitakutafuta badae (kwa sauti ya chini) Upo hapo...
10.Baby nakusanya assignment usinitafute wk nzima baada ya wiki tenantakuwa napresentation hvyo ongezea wk nyngne ya kutonitafuta
 
Hahaaaaaaa namshukuru Mungu sijawahi kukutana na hizo saundi................. labda zianzie hapa chitchat.......... after all mi siyo kwale
 
Hahaaaaaaa namshukuru Mungu sijawahi kukutana na hizo saundi................. labda zianzie hapa chitchat.......... after all mi siyo kwale

Mungi bana eti mimi siyo kwale wala njiwa!! Saizi unahaha kijana kila kona kupindua koloni la Erickb52 kwa snowhite bila kujali kama kijana hata ukimpora huyo babo akina cacico, Mamdenyi wanaweza kujitolea tehe tehe.

Filipo come this way upute uzoefu wako ulikuwa unapigisha sound kwa marejesho mpaka akalainika kiasi hicho.

Babu Asprin uzi huu unakuhusu kwanza kama mgaguzi pili mauzoefu yako katika ngimbila zako tehe teh.

King'asti anatuhuma mkuu Paw kwa hiyo muwe makini kulimwa ban ushahidi AshaDii katusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Mungi bana eti mimi siyo kwale wala njiwa!! Saizi unahaha kijana kila kona kupindua koloni la Erickb52 kwa snowhite bila kujali kama kijana hata ukimpora huyo babo akina cacico, Mamndemy wanaweza kujitolea tehe tehe.

Filipo come this way upute uzoefu wako ulikuwa unapigisha sound kwa marejesho mpaka akalainika kiasi hicho.

Babu Asprin uzi huu unakuhusu kwanza kama mgaguzi pili mauzoefu yako katika ngimbila zako tehe teh.

King'asti anatuhuma mkuu Paw kwa hiyo muwe makini kulimwa ban ushahidi AshaDii katusaidia.

Mkuu Mzee wa Rula mi siyo kwale.............. kwanza hata humu chitchat sijapigwa saundi......... si umeona nilirusha ndoano kwa Lily Flower kitu ikanasa pale pale hahaaaaaaa........ Chezeya Mungi weye
 
Last edited by a moderator:
1. Baby 2taongea badae naingia lecture
2. Jamani hny ckuweza kupokea cmu nilikua kwenye kelele
3.Swety cna credit thats why cjajibu sms yk
4.2ko discxn ntaku beep badae dia

Hizo juu hapo ni kuwa kuna kitu anajua anaweza benefit kwako. Hataki upotee moja kwa moja, anataka uwepo hadi pale atakapokuwa na hitaji ambalo unaweza li solve (for apparently kicha kuweka kwenye kona ambayo anajuwa akutokee vipi na utashindwa furukuta); siku hio akikuomba kitu kama huna utamaliza washikaji wote kuomba support.

Ushahidi the use of those enduring words za 'swt', 'hun', 'baby' - Wasichana wengi wa chuo kama anajihusisha na kutoa kauli hizo wengi huwa na dharau. Kama hakutaki HAKUBEMBELEZI kwa hayo maneno ya kukutia moyo... Lol

5.Cmu haikua na chaji jamani (hapo alikuzimia)
6.Nipo na kaka yng ucpige cmu
7.Nina presentation kesho ha2wezi kuonana
8.Room mate wangu anamgeni ucje leo

Huyu hakutaki period! Tena kakuambia/kakuonesha kuwa hakutaki but wewe ni king'ang'anizi! Hizo kauli hazina hopes kabisa kwa msakaji.

9.Nipo library nitakutafuta badae (kwa sauti ya chini) Upo hapo...

Huyu kweli atakutafuta, walau kukutia moyo...

10.Baby nakusanya assignment usinitafute wk nzima baada ya wiki tenantakuwa napresentation hvyo ongezea wk nyngne ya kutonitafuta.

Kakuweka pending... Unaweza fanikiwa.
 
Mbaya zaidi ukute mkaka alimaliza chuo mwaka jana na ndo kazi hajapata. Akija kagombea daladala za kwao mbagala (kwa mjomba wa binamu yake),hadi ashuke hall three ananuka mbuzi sio mbuzi. Na deodorant hana hata hela ya kununulia. Lazma uambiwe usije hahahaha.

Kuna jamaa udsm aliambiwa vile huna kazi usihangaike kuja chuo kuniona. Akajihesabia kibuti.
 
Inakuwaje sie wengine hivyo videmu vya vyuo ndio vinatupigia misele mpaka wives wanastuka?
 
Mungi bana eti mimi siyo kwale wala njiwa!! Saizi unahaha kijana kila kona kupindua koloni la Erickb52 kwa snowhite bila kujali kama kijana hata ukimpora huyo babo akina cacico, Mamdenyi wanaweza kujitolea tehe tehe.

Filipo come this way upute uzoefu wako ulikuwa unapigisha sound kwa marejesho mpaka akalainika kiasi hicho.

Babu Asprin uzi huu unakuhusu kwanza kama mgaguzi pili mauzoefu yako katika ngimbila zako tehe teh.

King'asti anatuhuma mkuu Paw kwa hiyo muwe makini kulimwa ban ushahidi AshaDii katusaidia.
Mzee wa Rula hebu nyoosha maelezo hapo kwnye bold!isijie ikawa Erickb52 kashatangza ufalme hapa!mi navojua alikuwa anataka kuoa dadangu FP kaka zetu Chimunguru, moto2012 walipomtajia mahari akachapa lapa!sasa leo tena vijeeeee?
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Rula hebu nyoosha maelezo hapo kwnye bold!isijie ikawa Erickb52 kashatangza ufalme hapa!mi navojua alikuwa anataka kuoa dadangu FP kaka zetu Chimunguru, moto2012 walipomtajia mahari akachapa lapa!sasa leo tena vijeeeee?

Kwani anachelewa, ndiyo wale ukimchekea tu anakwambia si tayari. Shauri yako mimi siendelei maana kama huji kosma hata picha utakuwa huoni?????? Erickb52 hebu njoo hapa ukane haya niyasemayo maana ulijitapa sana siku ile vinginevyo useme kama ndofyu ilikuwa ipo kichwani mwako tehe tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom