Kwa wale wadau wa Hiphop, Imam Abass yuko wapi?

Kwa wale wadau wa Hiphop, Imam Abass yuko wapi?

Kati ya maemcee ambao huwa natamani sana warudi kwenye gemu, ni Imaam Abasy.

Mwaka flani niliwahi kuona freestye battle at MTV Base, and Imaam was among the contestants akirepresent Tz. Battle language ilikuwa ni 'yai'. Daaah He's bad number for sure. Bongo hipHop community tunamiss sana 'madini' ya watu kama hawa.

"Kila kitu siasa umalaya au anasa"

-Kaveli-
Kuna freestyle battle moja aliingia fainali na mshkaji anajiita RAGE mchizi alikua vizuri nafikiri Imam alikaa!
 
Alirudi kpnd fln akawa ana projekt bongo rekod... Alikua anachana ngeli tupu.. Cjui iliishia wapi
 
Alirudi kpnd fln akawa ana projekt bongo rekod... Alikua anachana ngeli tupu.. Cjui iliishia wapi
Mwaka 2013 alinialika kwenye mradi wake ulikua unaitwa hip hop exhibition ilifanyika arusha. Dah ilikua poa sana
 
Back
Top Bottom