Kwa wale wa sua help me about horticulture | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wa sua help me about horticulture

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by merali, Sep 29, 2012.

 1. m

  merali Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wa sua it is ma hope u ar ok naombeni nijuzeni hii koz ina field mwaka wa ngapi na vp kuhusu msuli wake kulinganisha na food science &technologyna pia khs future zake which one has bright future than other?
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  FROM WHAT I KNOW almost degree programs at sua are marketable...kuhusu msuli mkuu hata sociology,law,maths msuli ni lazima....siwez semea sana hili kwa maana sijafika sua bado...ila msuli ni lazima!!!!
  watu wengi sasa wamewekeza kwenye kilimo na ndo kauli mbiu ya taifa...so hata future yake lazima itakua nzuri we mwenyewe tu na hiyo miaka 3 pande za sua!!!! kuhusu field tungoje wadau wengine waje...ila naiman itakua ni mwaka wa 2 na 3(japo sina uhakika)....nawasilisha...
   
 3. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jibu zuri kutoka kwa Lordville
   
Loading...