Eti nikweli kwamba kwa wale ambao hatutegemei mkopo, by tarehe 30 Oct, unatakiwa uwe umelipa ada kama sivyo no admission, nimesoma kwenye joining instruction yao, kama sijaelewa vibaya.
Eti nikweli kwamba kwa wale ambao hatutegemei mkopo, by tarehe 30 Oct, unatakiwa uwe umelipa ada kama sivyo no admission, nimesoma kwenye joining instruction yao, kama sijaelewa vibaya.
natambua mzumbe ni chuo cha serikali. Kwanini wao waende tofauti na vyuo vingine vya serikali? Pale UDSM, tulikua tunalipia direct cost tu, nayo ilikua kama elf78
Huyu prof Itika (VC mpya) cjui anadhani tunaosoma pale ni watoto Wa vibosile wote...Mara Supplimentary tulipie,Mara hyo ishu ya karo 31 October..Huyu jamaa hafai kukiongoza chuo hiki...tutamkumbuka sana prof.Kuzilwa
Mtakumbuka kuwa TCU GUIDEBOOK imeweka Priority na Non Priority. Kwahyo Mzumbe Priority ni Bachelor of Education in Language and Management(BELM), Bach of Education in Economics and Mathematics(BEEM),, na pia kuna Bachelor of Education in Comerce and Acounts (BECA). Hizo BEEM na BELM nina uhakika ila kwa BELM mpaka kwanza nirejee TCU Guidebook. Kwahyo kozi zinazobaki ni Non Priority. Na wengi hawapati mkopo, na ndio maana wakaweka kuwa walipe ada. Lakin hilo tangazo kama lipo sio kizuizi hata kidogo. Ila Mzumbe kuna Principle of First Come First Saved. Kumbukeni kila chuo kina taratibu zake.