Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Action kama zipi? nimeileta hapa kwani kwa sasa kuna uhuru mkubwa wa kujieleza sio kama enzi hizo,Kipindi kile tulifumbwa midomo kwa sababu ya Useminari.Hapa Jf kuna waandishi wa habari ambao huchungulia itakuwa rahisi kwao kufatilia, sisi bado ni watoto wa wakulima hatuna uwezo kusimama na huyu jamaa. La mwisho kama viongozi wakuu i mean Maaskofu walilijua hili na wakashindwa kufuatilia je sisi tungeweza.Leo ndio mmemkumbuka? mlikuwa wapi ku-take action wakati wote?
pipo bana!
Ina maana na nyinyi ni waathirika?????????????????????......
Huenda!!Ina maana na nyinyi ni waathirika?????????????????????......
. . .Kwa wengi mtakuwa wenyeji wa jina hili Fr.Michael James Snyder. Huyu Bwana alikubwa na kashifa nyingi hasa za kuwalawiti waseminari pale makoko,Alitumia upadre wake kuwadanganya vijana kwa kuwafundisha Basketball na kuwaletea viatu vipya kutoka Marekani. Cha kushangaza alifumbiwa macho na maaskofu Marehemu Samba,Marehemu Butibubage na Marehemu Mayala. Kwani taarifa walipewa na hawakuzifanyia kazi.
. . .Mwaka 1996 aliondoka na kurudi kwao Marekani, cha ajabu mwaka 2007 alirudi Tanzania and he is the Catholic Chaplain at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences.
. . .Huyu mtu hapaswi kufumbiwa macho
Mike and some students working in the garden outside the chapel and offices preparing for Christmas Celebrations in 2007
kaka umefanya makosa kutumia hii picha hapa namuomba moderator aiondoe mara moja kuna vijana wanaonekana hapo hasa huyo dogo mweupe ambaye alikuwa mseminari pale mwanza naona unavayoweka picha hii hapa ni kama unaionyesha jamii kuwa vijana hao pia walikumbwa na huyo Padri, tafadhali ondoa picha hiyo unaharibu reputation ya watu wengine wasiohusika tafafuta picha ya padri akiwa mwenyewe, maadili na privacy zizingatiwe.
Mkuu hakuna aliyesema wao ndo wale,kilichokuwa kinajadiliwa hapa ni enzi za huyu Padre alivyokuwa Merynoll fathers pale Makoko. Hii ni kama tahadhari kwa wale wasiomjua vituko vyake.. [/COLOR][/SIZE]
kaka umefanya makosa kutumia hii picha hapa namuomba moderator aiondoe mara moja kuna vijana wanaonekana hapo hasa huyo dogo mweupe ambaye alikuwa mseminari pale mwanza naona unavayoweka picha hii hapa ni kama unaionyesha jamii kuwa vijana hao pia walikumbwa na huyo Padri, tafadhali ondoa picha hiyo unaharibu reputation ya watu wengine wasiohusika tafafuta picha ya padri akiwa mwenyewe, maadili na privacy zizingatiwe.
Wanaogopa kujitokeza kwa sababu ni Aibu wanaona no Bora wafe na hiyo aibu moyoni Mwao, kina Mashalla mtu na mdogo wake,yule jamaa wa kisesa Daudi aliyehamishiwa MAUA SEMINARY na huyu FR.Michael ili kumlindia heshima wako wengi sana.Yes kweli ingawa binafsi ni mkatoliki makosa kama haya tikufumbuka macho tunatakiwa tuyafuatilie. lakini tusiyahusihe na dini ni matatizo ya watumishi binafsi na ni wachache
Lakini bila msaada wa waathirka kujitokeza itabaki ni hadithi ya kusadikika.