kwa wale wa longtime

kwa wale wa longtime

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................
 
mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................

Mwana mbona hizo sio za kitambo kivileeeeee...
 
sizitaki mbichi hizi
 
nyimbo kitabu cha kiswhili darasa la 4:- alikuja baba mmoja kutoka safari ya mbali kavimba yote mapaja
 
mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................
Hivi vitabu vimepotelea wapi?
 
Jamani mmenikumbusha mbali nikiwa nachoma mahindi nakwenda nayo shuleni na viazi pia HADHTHI ZA KIMWERI
 
Jamani mmenikumbusha mbali nikiwa nachoma mahindi nakwenda nayo shuleni na viazi pia HADHTHI ZA KIMWERI

Daah,great,ndoto za kimweri,aliota majitu yenye matumbo meupe yatavamia vuga
 
mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................

Paka amlamba kuku....oh no hiyo haikuwepo sorry!
 
Paka amlamba kuku....oh no hiyo haikuwepo sorry!

Haha haa,labda sentensi,"wanawake wanaogopa kuchukuliwa na madungu"inapatikana kwenye tittle MAFURIKO RUFIJI
 
Hivi vitabu vimepotelea wapi?
hapa ndipo tunapoooona ni jisnsi gani wahusika wasivyokuwa makini kutunza ya kale, hata kama silabasi zimebadilika sana , tulitengemea kuwe na angalau makataba ya viatabu vya kale kama hivi, hakika ni hazina kubwa, wahuzika mpoooooooo
 
Back
Top Bottom