Kwa wale wa kuhitaji shule bei nafuu ada

Kwa wale wa kuhitaji shule bei nafuu ada

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,166
Reaction score
4,156
Shule ipo vizuri Ada ni laki 7 na hutolewa katika awamu nne. hii ni sawa na bure kabisa. Shule ipo Ruvuma na inapokea bweni na kutwa. Kuhamia pia. More explanation PM
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom