Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Dec 3, 2012 #1 Habari Kutoka Yelusalem Mnataarifiwa kwamba hakutakuwepo na sikukuu ya Chrismass mwaka huu kutokana na kwamba mama Mariam amechoka kuzaa kila mwaka hivyo kaamua kutoa mimba. Hivyo uwatarifu wote wanaojiandaa na sikukuu hiyo, na Mungu atakubariki!
Habari Kutoka Yelusalem Mnataarifiwa kwamba hakutakuwepo na sikukuu ya Chrismass mwaka huu kutokana na kwamba mama Mariam amechoka kuzaa kila mwaka hivyo kaamua kutoa mimba. Hivyo uwatarifu wote wanaojiandaa na sikukuu hiyo, na Mungu atakubariki!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,578 Dec 3, 2012 #2 khaaaaaaaaaaaaaaaaa...........!!!!!!!!!!!!!!
T tusi Member Joined Nov 16, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Dec 3, 2012 #3 Duh asee itatuatjiri hii kitu mambo ya pilau's,outing's,heshima majumbani 2takosa mungu ampe nyingine kabla mambo hayajaharibika
Duh asee itatuatjiri hii kitu mambo ya pilau's,outing's,heshima majumbani 2takosa mungu ampe nyingine kabla mambo hayajaharibika
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 Dec 5, 2012 #5 kwenu sasa wapenda sherehe zisizowahusu!.................. mtakonda
Architect E.M JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,240 Reaction score 1,478 Dec 5, 2012 #6 ivi kumbe kila ikifika birthday ya mtu ni sawa na amezaliwa upya????? Au ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa????
ivi kumbe kila ikifika birthday ya mtu ni sawa na amezaliwa upya????? Au ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa????