Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,233
- 3,850
Before nilikua napenda korean.
Ila tangu mwaka uanze nmeangalia chinese drama zisizo na idadi
Sikumbuki kabisa story za korea
Ndio nataka kuiangalia "ooh my emperor"Mm nazipenda Chinese drama wana vichekesho sana kwa kweli yan unakuwa happy muda wote tafuta my emperor hutojutaa