SOFTWARE Kwa wale wa android pitia hapa tujuzane.

kioo93

Member
Jun 1, 2016
38
19
Kwa wale wanaoibiwa simu Mara kwa Mara au MTU kupekua files bila idhini yako Dawa yao ni kidogo sana .kuna application moja inayoitwa cm security ni suluhisho lake kwa maeleza zaidi tembelea :

kioo99
 
Yaani kutupeleka kwenye blog badala ya application yenyewe unaona ndio ujanja?
 
Back
Top Bottom