kwa wale tuliochaguliwa mzumbe main campus

kwa wale tuliochaguliwa mzumbe main campus

H.R

Member
Joined
Oct 30, 2015
Posts
14
Reaction score
0
natumai mko poa wakuu mbalimbali sasa.....kwa wale waliochaguliwa chuo tajwa hapo juu leo ni orientation day venue Samora hall
 
Huo ndio ujumbe wako tu?
 
Mheshimwa mm ni mteule hapo mzumbe ila mpka leo hii bado mipango ya kifedha imekaa ovyo...vp kama nikija j3 kuna any negative effects may occur
 
Mm npo tayar nlshamaliza malipo nmesajiliwa nasbr bodi watoe hyo second lot kama npo au la?,wanatutesa kwa kwel wanatuweka kiroho juu ni bora ukaandikiwa did not secure loan on first lot kuliko kuandikiwa nil,kuna jamaa kaandikiwa nil daah inauma yan hata boom cjui kama linamuhusu
 
jaman mliochaguliwa mzumbe tunawakaribisha sana. sisi tushakuwa wenyeji sasa. leo ilikuwa orientation, j3 masomo yanaanza. NB: Hutopokelewa kama hujalipa ada stahiki inayoonekana kwenye profile yako ARIS, na kama umelipa kiasi ukibakisha hata miatano hupokelewi pia. ni vyema kuwahi asubuhi ili usisumbuke sana. hakikisha unakuja na nyaraka zako zote ikiwemo fomu zote zilizopo kwenye profile yako. usajili bado unaendelea ndan ya siku 20 ikiwa leo ni siku ya 4. kama ungependa kuulizia zaidi nicheki 0789095484. karibu mzumbeni
 
Back
Top Bottom