Kwa wale mnaopenda totoz.

Wanawake wamekuwa ombaomba hawana aibu yaani wanahisi pesa za mwanaume ni za kugawa tu.

Yaani akiona unaendesha gari na umejenga basi anajua una hela ya kuchezea. Kutwa kuombaomba tu mara leo laki, kesho laki mbili.
 
Na walishaona ni hali ya kawaida kabisa.
 
Wanawake majambazi wanao jiingiza kwenye ndoa maisha yote ya ndoa/mahusiano wao wana lalama tu.

Nawahoji wazee wastaafu hadithi zao zote wana kimbia nyumba zao wenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…