Kwa wale mnaopenda totoz.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,181
Reaction score
64,253
Totoz wanataka uhakika wa maisha; wale milo mitatu mizuri, wavae vizuri, wanywe vizuri, waishi sehemu ya uhakika, uwape shoo vizuri.

Ukifanikisha haya yote, muda wote utakuwa unaitwa baby na majina matamu matamu unayoyajua, pamoja na kupigiwa simu au kutumia jumbe kila wakati ili asije akaibiwa.

Mimi napambana na wakwangu hapa mtaani.​
 
ok.🐒
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…