Wanawake nakubali nyie ni wazuri tena wote mko poa sana yaani uzuri wenu hata nyani hafikii lakini huo uzuri wenu ni nje tu ila mnakera na hiyo miharufu yenu ukivua tu lazima mwanaume ajiulize kama kuna panya kafia tumboni mwako kiasi fulani nyie ni wazuri hakuna kama nyie bana.
Tena ukute mmetembea kilomita mbili na jasho lenu lile afu mmvue yaani mnakuwa wazuri sana.
Kweli wanaume tumebakia wachache, Mungu alimuumba Adam na akaona yu mpweke akamtafutia msaidizi ambaye ni Hawa. Wanawake ni sehemu ndani ya mwili wetu ni wasaidizi na sisi wanaume ni kichwa cha familia. Mwanaume simama katika nafasi yako. Ni aibu mwanaume kuongea maneno ya kudhalilisha wanawake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.