Busara ni weledi wa hali ya juu kwa msomi yeyete, usimkashifu mwezio, haya mambo kweli yapo na tunaishi mtaani na wanaopewa kazi kwa vimemo, wengine ni family friend zetu, pia yanatukuta sana sisi job seekers ambao hatuna wa kutupa vimemo, ila naamini Mungu wetu sio kiziwe ipo siku atatusikia tu sisi watoto wa wajane.