Unafikiria sawa sawa kweli wewe? Ishu hapa ni kusahihishwa na kukabishi matokeo au ni kujaza nafasi zilizotangazwa? Hivi mtu anapokuambia kuwa lile zoezi ni geresha tu huelewi? Au mpaka tukuambie ktk nchi hii swala siyo matokeo ila kutangazwa kuwa mshindi? Kalaghabao!Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya
Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya
Yaani unajipa moyo kua watasahihisha karatasi 5,000 kwa umakini na usahihi?Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya
hii habari ni kweli kabisa.pspf,ppf,nssf,lapf ni ngumu bila memo coz yametukuta
Benaire....naomba msaada hapo kwenye LAPFJambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....inashangaza sana kuona wasomi wanaishi katika hearsays badala ya kuwa watu wa kutafuta ukweli "full truth" kama maana ya academician....
Hivi mtu mwenye mawazo haya asipochaguliwa nae analaumu....the problem is your low truth seeking capacity!
NB: Mdogo wangu amepata kazi this year LAPF bila kimemo (coz mtu anaemtegemea kwa network ni mimi tu) na anakula salary ya kutosha HQ Dodoma.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....inashangaza sana kuona wasomi wanaishi katika hearsays badala ya kuwa watu wa kutafuta ukweli "full truth" kama maana ya academician....
Hivi mtu mwenye mawazo haya asipochaguliwa nae analaumu....the problem is your low truth seeking capacity!
NB: Mdogo wangu amepata kazi this year LAPF bila kimemo (coz mtu anaemtegemea kwa network ni mimi tu) na anakula salary ya kutosha HQ Dodoma.
mambo ndivyo yalivyo...! lakini mambo yote hayo hayashindi kudra za Mwenyezi Mungu...Mungu akiamua kubadili mambo hivyo vimemo havitafanya kazi...! ipo siku...