Kwa wale madereva wenzangu....

Kwa wale madereva wenzangu....

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,938
Nasikia kuliko kugonga punda ni heri ugonge mbuyu......
tapatalk_1550127335390.jpeg
 
Kwakweli kusema ukweli Punda ni mnyama wa ajabu sana, ukimgonga gari inaharibika lakini yy anakuwa hajaumia sana, nikweli wanamifupa migumu sana zamani tulikuwa tunawaita chuma cha reli,tena ukiwa nahizi gari za kisasa ndio kabisaa unaweza shangaa.
 
Back
Top Bottom