Kwa wale ambao mlimpenda sana Hayati Magufuli, basi David mwaijojele wa CCK, Ndiye!

Kwa wale ambao mlimpenda sana Hayati Magufuli, basi David mwaijojele wa CCK, Ndiye!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na msimamo yake!, kwa wale ambao bado mnamisimamo mikali pitieni njia hiyo jiungeni kwa wingi msongeshe kwa kasi kubwa.
N. B, hata cv yake inavutia sana, amesomea theologia!
FB_IMG_17565648878927727.jpg
 
Ana msimamo halafu anashiriki Oktoba!
Kwa hawa (content creator manuvour) ni kushindana nao live live kibishibishi, ukisusa wao wanapeta tu, ispokuwa ni kweli kwa dhati kwao kuna Magufuli mwingine mpya!
 
Back
Top Bottom