Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,654
- 98,522
Wala si uongo umenipata haswa. ...Hadi mada yangu imepotea juu kwa juu[emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah
Utaniuliza siku ingine
Wala si uongo umenipata haswa. ...Hadi mada yangu imepotea juu kwa juu[emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitakuuliza tena...Hushindwi kunishushua na siku hyo[emoji119][emoji40][emoji23]Hahahah
Utaniuliza siku ingine
Sio kweli, ingekuwa hivyo watu wasingekuwa wanaumizwa. Kuumia huwa kunakuja pale wewe uliona umetua mabegi kumbe mwenzio alikuwa anapitaUkiona unapata shida kumpata mpenzi mwenye real love ujue wewe binafsi huna hiyo real love...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena uweze kumpa mdada maisha ya ndoto zake, utawekwa na Instagram lakini mkiwa tu shopping Dubai au holiday South AfricaMwanaume hata uwe na sura kama kirungu kama unapesa utaitwa handsome no cap.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha tu bibiDu maumivu yake ni kama kisu.
"Awe na pesa"Kwa wanawake to wanaume don't look for a tall and handsome guy,he'll turn old one day...look for a guy that will appreciate the love and loyalty from you oooh!
And....
Awe na pesa.