Kwa wakulima wa kilimo cha umwagiliaji

kuna mito ila ni midogo, maeneo ya kule mara nyingi mvua inakuwapo . ingawa kuna miaka huwa inasumbua , ila ardhi ina maji kama utachimba kisima
 
njoo , morogoro huku kuna sehemu wanalima mbaazi shamba ekari moja ni elfu 70 unanunua linakuwa lako, alafu ukipanda mbaazi ekari moja ni kama laki moja ila huwa wanachanganya na mahindi kwahiyo baada ya miezi kama mitatu utavuna mahindi kisha baada kama ya miezi kumi unavuna mbaazi.Gunia moja ni laki tatu unavuna gunia kati ya tatu mpaka nne kwa ekari, hakuna kutumia madawa , wala gharama nyingine zaidi ya kupalilia ambayo ipo ndani ya laki na wakati wa kuuza wanakufuata mpaka shambani .Mwaka huu wanunuzi wameanza kununua hata kabla mazao hayajavunwa. Nimelima mara ya kwanza mwaka huu nikivuna bei ikiwa nzuri ntalima ekari nyingi zaidi
Morogoro sehemu gani kaka!
 
Kaka umeamua jambo jema, mm nina mashamba eneo la kibiti kibiti ni 140Km kutoka Dar na bei kule ni kuanzia laki 150 mpk 250k unamiliki shamba, pia tuna kampuni ambayo tunakusaidia kulima kwa faida.. karibu ututembelee shamba letu moja wapo 0716727741
 
1477801295237.jpg
1477801335777.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom