Kwà Wakristo tu: Nini tofauti kati Neno na Andiko

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Straight to the Point;-

1. Neno

Hili hupatikana kupitia Maono yatokayo kwà Roho Mtakatifu ( Holy Spirit ) i.e Roho ya uzima

2. Andiko

Hili hupatikana kupitia Mapokeo yatokayo kwà Roho ya Uhai ( Holy Ghost)

Note: Andiko linaua bali Neno humpa mtu uzima wa milele.

Kama haujaelewa , uliza swali ujibiwe!
 
Andiko ni Neno lililo kwenye maandishi (written) lakini Neno ni neno lililo kwenye maandishi au kutamkwa (spoken). Andiko ni subset ya Neno. Uelewa wangu...
 
What is the difference btn holy spirit and holy ghost?
Fafanua na mifano ikiwezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni Sawa kama una niuliza , nini tofauti Kati ya

Ndugu Vs Jamaa , au
Familia Vs Rafiki

Sasa hapa ni kwamba,

1. Holy Spirit

Yeye hukupa Neno lenye HEKIMA na Maarifa ( Huyu ndiye mtetezi wetu / Counselor )

2. Holy Ghost

Yeye hukupa Andiko lenye UELEWA na Hukumu/Busara ( Huyu ni mkarimanj wetu / Advocate )

Mfano:- Yesu Kristo wa Nazareth, mara nyingi alikua akitembea na Roho Mtakatifu , alikua akitueleza Neno la Mungu kwà mifano na kwà mafumbo....

Lakini , kuna wakati alikua akisema,..kama msiponielewa sasa...atakuja mkarimani na kuwaeleza yote niliyowaambia.
 
Andiko ni Neno lililo kwenye maandishi (written) lakini Neno ni neno lililo kwenye maandishi au kutamkwa (spoken). Andiko ni subset ya Neno. Uelewa wangu...
Unahitaji HEKIMA, Busara na Maarifa ili uweze kuelewa zaidi jambo hilo...maana ndiyo msingi mkubwa wa Ukristo
1__eY09WenRV_zFCFwKXD8PQ.jpg
 
Back
Top Bottom