Kwa wakazi wa Shinyanga

Kwa wakazi wa Shinyanga

tommie

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
47
Reaction score
8
Natoa
ofa ya Tshs 10,000 kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa dada mmoja
jina catheline.Huyu alikuwa anapigisha simu kibanda cha simu pale
stesheni ya treni pale shinyanga miaka ya 2000-2005 nina shida nae na
sijuhi naanzia wapi kumpata,atakayempata aniPM,msaada wenu wakuu unahitajika..
 
Alikuwa mfupi mweupe atakayefanikiwa kuniunganisha nae dau bado lipo...
 
Unamtafuta kwa Heri au Shari; Nadhani ukielezea kama ni Shari (na alkutenda nini) wadau wapenda haki watakutaarifu na kama ni Heri hata yeye kama yupo humu au rafiki / ndugu zake watakutaarifu..., Vinginevyo mtu anaweza akawa anakwambia mtu yupo wapi ili ukamdhuru
 
Unamtafuta kwa Heri au
Shari; Nadhani ukielezea kama ni Shari (na alkutenda nini) wadau wapenda
haki watakutaarifu na kama ni Heri hata yeye kama yupo humu au rafiki /
ndugu zake watakutaarifu..., Vinginevyo mtu anaweza akawa anakwambia
mtu yupo wapi ili ukamdhuru

aaaaaha! nimecheka ila umeongea vitu vya msingi sana Ndg,mi namtafuta kwa heri yeye alinisadia kipindi ndo naenda kuanza advance pale Shybush,so nataka japo nimkumbuke pia kwa fadhili zake,ni hayo tu.
 
aaaaaha! nimecheka ila umeongea vitu vya msingi sana Ndg,mi namtafuta kwa heri yeye alinisadia kipindi ndo naenda kuanza advance pale Shybush,so nataka japo nimkumbuke pia kwa fadhili zake,ni hayo tu.
Hapo hii imekaa vema..., yaani hata marafiki zake au wanaoujua alipo watakusaidia bila shaka
 
ongeza sifuri moja nikupe namba zake

Kipato changu sio kikubwa sana ila ngoja nijiongeze
(10,000*2=20,000) kama ni kweli yeye hapo ntatoa na ntakushukuru sana kwa kweli..
 
Miaka hiyo nilikua sijaja shinyanga but una moyo wa kitume kaka big up
 
Miaka hiyo nilikua sijaja shinyanga but una moyo wa kitume kaka big up

Ndo hivyo br K, kufika pale unapotaka kufika ni lazima uangalie na kule ulikotoka ndio maana hata makosa tuliyowahi kuyafanya yana nafasi ktk kujifunza ya mbele yetu,kama uko Shinyanga unaweza nisaidia kumuulizia pia.Thanks
 
Wakuu,bado nahitaji msaada wenu wazee wa Shy-town..
 
Kwa kweli bado sijampata,kwa yeyote anayeweza kunisaidia msaada nauhitaji...
 
Uko wapi we dada,au ulishahama Shy? ukiliona tangazo hili tafadhali ni-PM tuongee.
 
Sema anakaa mtaa gani kibanda cha M pesa kipi? Viko vingi stesheni
 
Sema
anakaa mtaa gani kibanda cha M pesa kipi? Viko vingi stesheni
Kipindi kile kibanda cha simu stesheni kilikuwa kimoja tu,na
nilimfahamia hapo hapo stesheni na sikujua mtaa aliokuwa anaishi jina ni
Catheline,mfupi mweupe..
 
Back
Top Bottom