Inawezekana kama una shida ya hela kweli. Kwani kufua na kupiga pasi huchukua muda gani? huna shida ya kazi wewe, na uelewe kuwa kuuza duka sio part time, huwa ni full time job. Na je kama duka ni kubwa unadhani utasoma hata hiyo jioni yenyewe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.