Mkuu Naomba nisiseme mengi Ila nikukumbushe machache tu.
Mfalme Suleiman alipopewa fursa Ya kuomba lolote, je aliomba furaha? Je aliomba Mali na utajiri? Aliomba Nini Cha duniani?
Lakini je hakupewa vyote? Je alipungukiwa chochote Cha duniani?
Nakumbusha tu, sisemi chochote lupus.
Mkristo yeyote hana budi kuwa na furaha. Biblia inasema furahini siku zote tena nasema furahini. Hili la Mali na heshima lina utata pia, maana tunapaswa kutafuta heshima ya Mungu na wala sio ya wanadamu. Tatizo lingine ni mtazamo wenye ukakasi kuhusu mali. kwamba kuwa na mali ni dhambi! huu ni mtazamo unaopaswa kujadiliwa kwa undani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.