Ni wewe gee?Kwa nini mtu asiwe na gari kama ndo furaha yake?
Yeye anaishi sasa, afikirie wajukuu imehusu na nini?
Ni wewe gee?
Loh
Sio vizuri kuwa so selfish kiivo bwana mbona wenginewalisacrifice furaha zao bwana? Basi na wewe share nao icho kidogo
Mkuu umeongea
Ila kwanza wewe jifikirie wewe na maisha yako na je maisha hayo unayotaka kuishi ni sawa na kipato chako
Au kwa kuwa unamfuatilia dada ambaye bila mkoko huwezi kumpata kw ahiyo bora uingie kwenye kitanzi cha mkopo na kujibana bana
NA je una uhakika wa kuwa hutajitia kitanzi kwa kuingia kwenye hali hiyo ya maisha ili umfurahishe fulani
Ukishafikiria hayo mkuu hutajiingiza kwenye kitanzi
Nakubaliana na wewe kumpata yule ambaye anakukubali the way ulivyo na anayeyakubali maisha yako kama ulivyo ni ngumu sana ila tunapambana ili kumpata na kupambana kwako kusiwe kwa kuteseka ila kwa kujipangia namna ya kuyakabili maisha
Tatizo gee mtu anachukua mkopo unamtesa yeye mwenyewe vibayamnoSmile kuna mtu mmoja namjua, alikuwa na mashamba mahekari kwa mahekari tena beach huko kwao. Kayafuga kubakisha urithi wakati walikuwa wakiishi kwenye nyumba ndogooo, hawana hata pa kukaribisha mgeni.
Sasa faida gani hapo?
huna mkopo wewe? sitaki kuishi kwa vijihela vya wasiwasi
Kila mtu anahitaji kuwa happy mkuu, ukiona mtu kachukua mkopo ujue ana pursue for happiness anataka awe kwenye status flani ndipo ataridhika kwamba na kufurahia.
Siku hizi maisha yamekuwa kuigiza in every step ni watu wachache ambao wako real everybody is trying to impress someone.
Utasikia mtu anasema ngoja ninunue mkoko mademu wa mtaani watanikoma. Rocky najua unajua namanisha nini
daaah ndo mawazo yenu wakaka haya..... hatari kabisa ..kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHahaha unapambana kumpata. Mimi navyojua kupenda ni kama kifo inatokea tu unapenda sasa inawezekana ukampenda huyo wa bila usafiri humpati daladala hapandi.
Rocky wajua nini watu wanahangaika kununua magari coz ya kampani unakuta marafiki zako wote wana usafiri kila weekend wewe na mpenzi wako mnakuwa watu wakupewa lift kwenda out na kurudishwa, hatimaye unaona hapa nisipo fanya makeke ntakuta nanyanganywa..
oke tutazunguka taasisi zote za hela mjini hapa tuhakikishe au nitaweka private detective aniangalizie hili swalaSina mkopo kwa sasa..Nilikopa nilipokuwa napaua nyumba yangu na nimeshamaliza kulipa..Kwa hiyo usiwe na wasiwasi. Nitachukua mkopo mkubwa kwa ajili ya kukufungulia biashara yako..
Hahaha unapambana kumpata. Mimi navyojua kupenda ni kama kifo inatokea tu unapenda sasa inawezekana ukampenda huyo wa bila usafiri humpati daladala hapandi.
Rocky wajua nini watu wanahangaika kununua magari coz ya kampani unakuta marafiki zako wote wana usafiri kila weekend wewe na mpenzi wako mnakuwa watu wakupewa lift kwenda out na kurudishwa, hatimaye unaona hapa nisipo fanya makeke ntakuta nanyanganywa..
Tatizo gee mtu anachukua mkopo unamtesa yeye mwenyewe vibayamno
Yaani gari inalazimishwa hadi basi
mkuu unaona mawazo ya vijana wako wafanyie semina bwanaMkuu nimekupata sana na najua unamaanisha nini mkuu
Hayo yapo sana mkuu na wengi wapo kwenye hivyo vitanzi ili kupata furaha ambayo sometime ni ya muda
Unakuwa nayo ukiwa ndani ya huo mkoko ila ukirudi kwako wakati umelala unaufikiria mkopo
Kweli tunafanya haya kutafuta furaha na ipo na tunaipata
Hivi mwanamke anaekupenda anaweza kukubali kuona unadhalilika hapa mjini kwa ajili ya starehe kweli?
Mwanamke anaekupenda kweli lazima atakubali kukuvumilia na kukubali kusaidiana na wewe katika matatizo pia atakushauri kuhusumaisha. Ila kwa sababu mnapenda mauzo ndo ivo wanawake nao wanachungulia wallet wanokomba kilichopo wanawakimbia utajijuna madeni yako
Na cha kusikitisha hata wanapokula na kupanda hayo magariyenu tunajua ni mkopo mtupu na tunajua unawasumbua na kuwapa pressure
Lakini kwa vile mmeamua kufa pressure kwa ajili yetutunashukuru
Ila mimi nimewaambiatu vile nawapenda hapa
Mkuu nimekupata sana na najua unamaanisha nini mkuu
Hayo yapo sana mkuu na wengi wapo kwenye hivyo vitanzi ili kupata furaha ambayo sometime ni ya muda
Unakuwa nayo ukiwa ndani ya huo mkoko ila ukirudi kwako wakati umelala unaufikiria mkopo
Kweli tunafanya haya kutafuta furaha na ipo na tunaipata
Dah hata wewe kakaAwali ya yote napenda sana mwandiko wako!
Hapo kwenye red hivi wewe kwa akili yako kuna mapenzi kweli siku hizi? au isije kuwa smile ni kabinti ka miaka 20! maana hapo lazima utakuwa unamaujinga hayo unayoyasema! siku hizi mwanaume anakutokea anaomba game akikolea anaganda akiona service mbovu anakula kona! Mambo ya mapenzi wapende wazazi wako!
Dah hata wewe kaka
Kwa iyo hamna mtuanampenda mtu?
Mudy kweli unakubali kuteseka na bayport kisa sketi ?