Kwa wajuzi wa mambo

Kwa wajuzi wa mambo

sumag

Member
Joined
Nov 4, 2018
Posts
30
Reaction score
21
Mm sio mtumiaji sn wa jamii forum, Nahitaji kufaham hili kabila lipatikanalo RWANDA na BURUNDI linaitwa WATWA historia yao na wametokea wapi, na tamaduni zao, maana nasikia lipo ila na halijulikan kwa watu wengi, Natanguliza shukran.
 
Mbona Rwanda wapo na BURUNDI pia, ijapo niwachache sn
 
Back
Top Bottom