We acha tu, huyu jamaa hatari kwa mbavu za watu. Yaani nimecheka hadi waif ananiona chizi, hah!
Mkuu Zinedine huyu jamaa wa friji naona alikua anaandika huku anahema ! anapenda "HU" kwenye kila neno
We acha tu, huyu jamaa hatari kwa mbavu za watu. Yaani nimecheka hadi waif ananiona chizi, hah!
Kama linaFAHA HUNALiuza kwa nini? Hau umenunuHA Lingine mkuhu