Kwa Waislam tu

Kwa Waislam tu

Engneeer

Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
86
Reaction score
116
Asssalam alykum warrahmatullah wabarakatuh kheir ndugu zangu katka imaani

Allah anasema katika quran tukufu
Surat Al-An‘ām (6:108)
“Wala msiwatukane wale wanaowaabudu (miungu) badala ya Mwenyezi Mungu, wasije wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa uadui bila ya kujua.

Hivyo ndivyo tulivyopamba kwa kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao, naye atawaeleza waliokuwa wakiyafanya.”

Naam kama Ayah inavyosema ndugu zangu waislam najua mna nia njema ya kuhakikisha mnaufikisha uislam kama ipasavyo lakin wanasema mwenye macho haambiwi tazama nadhani nyuzo nyingi humu zimeongeleka kuhusu Dini nyuzi zipo enzi na enzi ivo basi mimi nachowaomba kuanzia sasa hata waweke mada ya namna gani waislam tukaushie maana tukijibu tu wanashusha matusi mengine hata kuyasoma nguvu zinaisha ila yote hiyo ni kuhakikisha tunakuwa na radhi zake Allah tusije jibizana nao tukajikuta wanatutukania dini yetu sasa mm nawaomben utulivu na uvumilivu naamn kila aliyemo humu mkristo au wa dini nyngnez huu ujumbe wa kiislam umemfikia kwa maana hiyo sisi TUMEFIKISHA!!!!! Sasa jukumu la kuwaongoza hilo sio letu bali Allah mwenyewe kasema ndani ya quran tukufu

Surat Al-Qasas (28:56)
Allah anasema
“Hakika wewe huwezi kumuongoza umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humuongoza amtakaye; naye ndiye anayewajua vyema wanaoongoka.”

Tufunge Uzi huu kwa Ayah nyngne ya Allah
Katk Surat Al-A‘rāf (7:178)
Allah anasema

"Anayeongozwa na Mwenyezi Mungu ndiye aliyeongoka, na anayepoteshwa basi hao ndio wenye khasara.”

Sasa nawaombeni ndugu zangu zingatia Mada
Assalam alykum warrahmatullah wabarakatuh
 
Makafir yatajazana sio muda
FB_IMG_1770739621984.jpg
 
Ndugu yangu naomba tuheshimiane

“Nyinyi mna dini yenu, na mimi nina dini yangu.”

Nmekuheshimu sana ndo maana nkasema huu uzi ni kwa ajili ya waislam tu kwaiyo sijui uku umekuja kufanya nini kwa hiyo naomba kila mmoja awe na mipaka kwa mwenzake na pia kabla ya kuongea chochote kitafakari mara mbili ndo uongee ahsant nadhan utakuwa umenielewa vyema
 
Akhi hawa wala usiwe na shida nao tunawajua vizuri kuliko wanavojijua maana Qur'an ishatuambia yote hayo
{ وَلَن تَرۡضَىٰ عَنكَ ٱلۡیَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَـٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمۡۗ قُلۡ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلۡهُدَىٰۗ وَلَىِٕنِ ٱتَّبَعۡتَ أَهۡوَاۤءَهُم بَعۡدَ ٱلَّذِی جَاۤءَكَ مِنَ ٱلۡعِلۡمِ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِیࣲّ وَلَا نَصِیرٍ }
[Surah Al-Baqarah: 120]
 
Umeandika kwa busara sana. Lakini tatizo lilipo kila mmoja huona dini yake ni sahihi, kila mmona huona mwingine ndio kapotoka

Hivyo kubishana hakuwezi kuisha. Kila mmoja atataka kumuonyesha mwingine kuwa yupo dini sahihi
 
Akhi hawa wala usiwe na shida nao tunawajua vizuri kuliko wanavojijua maana Qur'an ishatuambia yote hayo
{ وَلَن تَرۡضَىٰ عَنكَ ٱلۡیَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَـٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمۡۗ قُلۡ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلۡهُدَىٰۗ وَلَىِٕنِ ٱتَّبَعۡتَ أَهۡوَاۤءَهُم بَعۡدَ ٱلَّذِی جَاۤءَكَ مِنَ ٱلۡعِلۡمِ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِیࣲّ وَلَا نَصِیرٍ }
[Surah Al-Baqarah: 120]
Upo sahihi akhy ila sasa Allah akaja tena akamalizia kwa kusema
“Na unapowaona wakizama katika maneno ya dhihaka, basi jiepushe nao…” (6:68)
Haijalishi ni vipi tu kaka tuwaache uzuri wanajua tu hamna mgeni hapa lakn pia kama ulivosema hawawez kukuridhisha mpk mfate mila zao ivo tukaushie wakileta thread tunaizoom na kuipotezea
 
Back
Top Bottom